4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Sukiafrica Sukiyaki Allstars
Results: 1 to 1 of 1
 • Sukiafrica Sukiyaki Allstars

  CountryPan Africa Far East
  Genresband fusion
  Website

  http://sukiafricaband.blogspot.com/

  FestivalSauti za Busara 2011
  Recordings

  Chiwoniso: Ancient Voices (2003), Timeless (2006), Rebel Women (2009)

  Peter Solo: Miadome (2006)

  Erik Aliana: Just Africa (2005)

  Chang Jaehyo: Barame Soop (2008)

  Sakaki Mango: Limba Train (2006), Limba Rock (2008)

  Ndana: Sound of Africa (2006), Inochi no Uta (2009)

  Sukiafrica Sukiyaki Allstars
  Sukiafrica Sukiyaki Allstars

  Ni mastaa watatu kutoka Afrika na vingozi wa mziki wa kiasia wamebadilisha na kuunganisha ubunifu wao na kufanya maonyesho, uimbaji, uchezaji vile vile kutengeneza uhusiano wa kimuziki kati ya mabara yetu mawili Afrika na Asia. Kuzaliwa kwake kulitokana na tamasha linalojulikana kama “Sukiyaki meets the World”. Sukiyaki ni mjumuisho maalum wa muimbaji na mchezaji mbira Chiwoniso kutoka Zimbabwe, piga gita Peter Solo kutoka Togo, Erik Aliana kutoka Cameroon, muimbaji na mpiga marimba Sakaki Mango, Chang Jaehyo kutoka Korea na mpiga Tumba Ndana kutoka Japan. Mwonekano wao Sauti za Busara 2011 ni mafanikio ya Sukiyaki Sukiafrica Afrika tour ambapo itaonyeshwa maonyesho ya moja kwa moja(live) kama zilivyopigwa Zimbabwe, South Africa na Swaziland.

  With thanks to the Japan Foundation
  With thanks to the Japan Foundation