4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Suzan Kerunen
Results: 1 to 1 of 1
  • Suzan Kerunen

    Country  Uganda
    Genres roots pop fusion
    Website www.musicinafrica.net
    Facebook /AlurQueen
    FestivalSauti za Busara 2022
    Recordings📼Nimefika, 2006; Lek, 2008; Acher Achera, 2011; Pimar, 2019

    Ugorunam Suzan Kerunen

    Suzan Kerunen
    Suzan Kerunen

    Suzan Kerunen, almaarufu Alur Queen muimbaji na mwandishi wa muziki kutoka Uganda. Muziki wake unahamasishwa na mchanganyiko wa midundo ya ngoma za Njige, Agwara na Ndara, kutoka kijijini kwao kaskazini mwa Uganda, vilevile anaimba kwa lugha yake ya asili Alur-Jonam pamoja na Kiswahili, kingereza na lugha nyingine.

    Suzan Kerunen ameshachaguliwa mara mbili kwenye tuzo ya Kora all African music awards. Ameshafanya maonyesho kwenye matamasha mbalimbali ikiwemo Bayimba festival na Safaricom International Jazz festival.

    Kerunen ni mwanzilishi wa Pearl Rhythm Festival na Know Your Culture Foundation, zenye lengo la kutafuta, kufundisha na kuelewesha utamaduni wa Uganda, na kuutangaza utalii wa utamaduni kwa maendeleo.

    AFK-logo
    With thanks to Alliance Françsise Kampala: https://afkampala.org/