4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Tunaweza Band
Results: 1 to 1 of 1
 • Tunaweza Band

  Country  Tanzania
  Genres band roots fusion
  FestivalSauti za Busara 2012, 2015
  Recordings

  Ngodo (2009); Raha Duniani (2009); Janga (2009); Muwelewele (2009); Kokomido (2008); Walemavu (2008)

  Tunaweza Band
  Tunaweza Band

  Kundi hili kutoka Daresalaam lilianza mwaka 2008 na wanamuziki kumi, wengi wao wakiwa walemavu. Waliamua kuchagua jina la TUNAWEZA ili kufikisha hoja. Kundi hili hivi sasa lina washiriki 13, ambao kati yao wanapiga vifaa tofauti tofauti. Masoud A. Wamani mwanzilishi na mkurugenzi wa kikundi anasema ‘Lengo letu ni kujisaidi wenyewe kwa kupata kipato kwa kufanya kazi ya kibunifu na kujieleza. Na wakati huo huo tunaweza kufundisha vijana kuhusiana na umuhimu wa masuala kama virusi vya UKIMWI au umuhimu wa kuwaheshimu na kuwalinda watu wote wenye ulemavu kwa ujumla’

  LOGO-CEFA--Eng-re-JPG
  with support from CEFA Tanzania