4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Wakazi
Results: 1 to 1 of 1
 • Wakazi

  CountryTanzania
  Genresband bongo flava hiphop urban
  Facebookwww.facebook.com/wakazimusic
  FestivalSauti za Busara 2020
  Recordings

  Moyo, 2016; Hapa Wakazi Tu, 2017; Bakora, 2017; Zillnass Zillnass, 2017; Hatutaki: Say No to Uranium Mining, 2017; Kwanini ft. Baraka The Prince, 2018; Nabebwa Na Beat, 2018; Tradin Bars ft. One Incredible, 2018; Nimezama, 2019

  Wakazi
  Wakazi

  Wakazi amekuwa mmoja wa mabalozi wazuri wa utamaduni wa hip-hop nchini Tanzania. Kamwe haachi utamaduni wake wa kuchanganya kiswahili na kiingereza katika mashahiri yake, mashairi yenye maadili, ujanja wa kucheza na maneno, misemo na nahau. Mtiririko wa mashairi yake na katika kuelezea hadithi huwa hauendi sambamba. Yeye mwenyewe huthibitisha hili kwa uzoefu wake wa maisha, na pia mawazo yake ambayo anadai wakati mwingine ni wazi zaidi kuliko maisha yenyewe.

   

  Wakazi ana kandamseto saba ambazo ameshazitoa rasmi pamoja na uteuzi wa tuzo ya Kora Award pamoja na Tizneez Award za kandamseto ya mwaka 2017 na Albamu bora ya Hiphop, 2018.