4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
 • Jordan Adetunji

  Country  UK Northern Ireland
  Genres urban hiphop
  Website www.jordanadetunji.com
  Facebook /jordanadetunji
  FestivalSauti za Busara 2022

  Jordan Adetunji - Close 2 You [Music Video] | GRM Daily

  Jordan Adetunji
  Jordan Adetunji

  Jordan Adetunji ni msanii wa hiphop, mwandishi wa muziki wenye asili ya Nigeria anayeishi katika Mji wa Belfast, Ireland ya Kaskazini. Nguvu zake na aina ya uimbaji huleta hamasa na mishemishe kila apandapo jukwaani.

  Jordan na bendi yake wanaongoza katika tasnia ya muziki wa hiphop kaskazini mwa Ireland. Wanavuka mipaka katika kufanya tafiti za sauti na muziki mpya. Maonyesho yake humvuta kila mtu anapodondosha mashairi ya nguvu yenye kubadilikabadilika muda wowote kutoka kwenye Rap kwenda R&B, rock au pop.

  With thanks to PRS Foundation
  With thanks to PRS Foundation