4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
 • Fanie Fayar

  Country  Congo
  Genres band roots rumba
  Website /fanie_fayar
  Facebook /Fanie FayarOfficiel
  FestivalSauti za Busara 2022
  On stage Feb 2022

   Fri 11,  8:20pm Old Fort Main Stage

  Bakana Sega - FANIE FAYAR (Clip officiel)

  Fanie Fayar
  Fanie Fayar

  Fanie Fayar ni muimbaji na muandishi, mchezaji ngoma kutoka Congo Brazzaville. Muziki wake umeupa jina la ‘Nsangi Groove-Soul’ uliochanganywa na pop, funk na ala za asili ikiwemo sanza, balafon, ndara na tam-tam.

  Fanie Fayar anajulikana kwa mishemishe zake za nguvu jukwaani. Muziki wake wenye radha tofauti na sauti maridhawa, huteka hisia za watu.

  Fanie Fayar is known for her extraordinary alchemy and boundless energy on stage. With her eclectic music and exceptional voice, she will deliver sweetness, with emotion and groove.