4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
 • Ebo Taylor

  Country  Ghana Germany
  Genres afrobeat
  Website www.eidenmusicagency.com
  FestivalSauti za Busara 2014
  Recordings

  Ebo Taylor (LP) - Essiebons Records 1977

  Ebo Taylor & Afrobeat Academy @ Soul Gallen, Palace (CH) 24.11.2012

  Ebo Taylor
  Ebo Taylor

  Mpiga Gitaa, mtunzi, kiongozi wa Bendi na muandaaji, si mwingine ni Ebo Taylor mzaliwa wa Ghana mwaka 1936, ni miongoni mwa majina makongwe kwa miongo kadhaa katika tasnia ya muziki nchini Ghana. Mwaka 1962 alipeleka kundi lake la Black Star Highlife Band kwenda Uingereza ambapo walipata nafasi ya kufanya onyesho na Fela Kuti na baadhi ya wasanii wa Kiafrika. Alivyorudi Ghana alifanya kazi kama Muandaaji wa muziki na kuandaa miradi yake, kuunganisha nyimbo za utamaduni za Ghana na kuchanganya vionjo mbalimbali vya muziki na kutengeneza aina yake ya mdundo katika miaka ya 70. Mwaka 2010 Kazi ya Taylor imepata umaarufu katika karne ya 21 kama muandaaji wa Hip-hop ambapo alitoa nafasi kubwa ya kutolewa kwa albamu yake ya kwanza iliyosambazwa kimataifa ya "Love and Death" kupitia studio ya Strut Records. Mafanikio yake yalifanya rekodi ya Strut kutengeneza stori ya Maisha ya "Highlife & Afrobeat Classics" kati ya mwaka 1973-1980.

  GI_Logo_horizontal_green
  With thanks to Goethe-Institut