4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
 • Dendri Stambeli Movement

  Country  Tunisia
  Genres roots rock jazz fusion
  Website dendristambeli.wordpress.com
  Facebook /dendristambeli
  FestivalSauti za Busara 2022
  RecordingsBori, 2020

  Bousaadia بوسعدية - Dendri Stambeli Movement (official)

  Dendri Stambeli Movement
  Dendri Stambeli Movement

  The Dendri Stambeli Movement is a project born in 2008 from the meeting of a Tunisian drummer, Mohamed Khachneoui with Stambeli, an ancestral Afro-Tunisian ritual music.

  Conquered by the unique sounds of traditional instruments and the unique rhythmic imprints of Stambeli, Khachneoui decided to dedicate a large part of his career to this sacred music. Without corrupting the soul of this musical tradition, the Dendri Stambeli Movement has created a modern repertoire with rock and jazz affinities that move between past and future. The sounds of electric guitar and piano are infused with instruments including gombri, gambra, gougay and chkachak.

  Beyond its undeniable musical value, the project aims to bring back to the stage an ancestral North African tradition with all the knowledge surrounding it that was in danger of dying, while bringing a positive and avant-garde rereading to black African history.

  Dendri Stambeli Movement ni mradi uliozaliwa mwaka 2008 kati ya mpiga ngoma wa Tunisia Mohamed Khachneoui na Stambeli, nguli wa muziki wa asili wa Tunisia.

  Ala na midundo ya kiutamaduni ziliwateka Stambeli na Khachneoui na kuamua kutumia muda wao mwingi katika muziki huo. Bila ya kuharibu taswira ya muziki wa utamaduni, Dendri Movement alitengeneza mjumuisho wa kisasa wa rock na jazz ambao ulikuwa unakwenda na wakati wa sasa na baadae. Sauti ya gita la umeme na piano lilichanganywa na ala nyingine ikiwemo gombri, gambra, gougay na chkachak.

  Bila ya kukataa thamani ya muziki husika, lengo la mradi lilikuwa kurudisha jukwaani muziki wa asili wa Afrika Magharibi na ujuzi wote ambao ulikuwa kwenye hatari ya kupotea, wakati huohuo kuleta mawazo mapya ya kusoma historia ya Muafrika mweusi.