4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
 • Hoba Hoba Spirit

  Country  Morocco
  Genres roots rock fusion
  Facebook /HobaHobaSpiritOfficielle
  FestivalSauti za Busara 2019
  Recordings

   Hoba Hoba Spirit, 2003; Blad Skyzo, 2004; Trabando, 2007; El Goudda, 2008; Nefs&Niya, 2010; Kalakhnikov, 2013; Lost, 2016; Kamayanbaghi, 2018.

  LOST // حاير // HOBA HOBA SPIRIT - هوبا هوبا سبيريت by Abdelaziz Taleb

  Hoba Hoba Spirit
  Hoba Hoba Spirit

   Muziki halisi wa Morocco umerudia, wenye nguvu zaidi kuliko hapo! Kati ya rock, funk na folklore, Hoba Hoba spirit wamekuja na mtazamo mpya wa kimuziki wenye kuakisi mchanganyiko wa muziki wa kisasa, na kufanikiwa kutoa nyimbo zenye mashiko kila wakati kama vibao vyao maarufu “Welcome to Casa mpaka Blad Skyzo” nyimbo zao zipo kwenye kumbukumbu za wamoroko wengi. Mpaka sasa HobaHoba wana albamu nane ikiwemo ya hivi karibuni “Kamayanbaghi” waliyoitoa mwaka 2018.
  HobaHoba wameshafanya maonyesho zadi ya 500 ndani na nje ya Morokko, baada ya ziara yenye mafanikio ndani ya Marekani vyombo vya habari huongelea muziki wao. Kutokana na chanzo cha Huffington Post, HobaHoba ni miongoni mwa vikundi 50 ambavyo nimetengeneza tamaduni ya Mashariki ya Kati.

  Afrikayna_and_Africa_Art_Lines
  With thanks to Afrikayna & Africa Art Lines