4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
  • Djmawi Africa

    Country  Algeria
    Genres roots pop reggae rock fusion
    Website www.djmawiafrica.com
    FestivalSauti za Busara 2015
    Recordings📼

    Mama Belda Diffusion (2008); Echefa Padidou (2012); Avancez l'arriere Padidou (2013)

    Djmawi Africa 2015 Tour #DjmawiTour2015

    Djmawi Africa
    Djmawi Africa

    Ni katika fursa ya tamasha la mwanafunzi lililofanyika INC Algiers mwezi Desemba 2004 kundi liliundwa. Siku hiyo, Jamil, ambaye kamwe hakuacha Gitaa Lake, alialikwa kutumbuiza. Aliongozwa na Fethi kwenye violin na Zouhir kwenye derbouka. Abdou kwenye gitaa la umeme na goumbri Mehdi percussion na Karim bass waliojiunga nao.

     

    Wiki chache baadaye, wakiwa bado na furaha ya kukutana katita tamasha muziki, walijiimaisha na kumshirikisha Lamine kwenye percussion, Moh kwenye ngoma na M'hamed kwenye clarinet na saksafoni watabadilisha mpigangoma kwa mara ya tatu; ambaye ni Mourad Rahel ambaye pia ni mpiga firimbi Hafid Abdelaziz na sasa Ziad Nazim ambaye alijiunga na kikundi wakati wa kurekodi albamu yao ya pili na kuondoka kwa Mehdi kwenye percussion. Kuzaliwa kwa Djmawi Afrika. Linajumuisha wamnamuziki 8 , wenye mitindo mbalimbali ya muziki, kila moja na mtindo tofauti ( Chaabi , Andalusian , rock, metal , reggae, Gnawa , classical music) , Djmawi Afrika kawaida inaunganisha vionjo mbalimbali vya muziki na kupata muziki wenye mchanganyiko.

     

    Djmawi Afrika kwa nguvu na uchangamfu wa ujana wao, wanawaburudisha washabiki wao waaminifu na kuwaongezea tabasamu zaidi kwenye nyuso za washabiki, kunashererekea na kufurahia mazingira mazuri huku wakitetea haki ya watu wote ambayo ni asili ya kiAfrika ya Algeria ambao wanaendelea kutoa mawazo yao ya kisanii kwa kutumia kazi zao za kimuziki.

    Logo-AARC_couleur
    with support from Agence Algerienne pour le Rayonnement Culturel