4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
 • Kyekyeku

  CountryGhana
  Genrestraditional
  Website

  http://www.kyekyekumusic.com

  FestivalSauti za Busara 2017
  Recordings

  A Higher Life on Palmwine, 2015

  Kyekyeku
  Kyekyeku

  Muziki wa Kyekyeku ni muziki wa kizamani wa Ghana ambao unajulikanwa kama “Palmwine music”, hata hivo Kyekyeku anapiga muziki wa kizazi kipya pia. Anachanganya aina hizi mbili za muziki ambazo mashabiki wake wanapenda sana.  Kyekyeku ni mpigaji gita. Kyekyeku na kikundi chake wanapopiga muziki wao, watu lazima watachezakutokana na uchangamfu wake.

  Kikundi hiki kimefanya maonesha nchi nyingi za Afrika na kupokea tuzo ya msanii bora huko Ivory Coast hivi karibuni, kwenye tamasha la MASA 2016.  Pia ameshiriki matamasha nchini Ulaya na kushirikiana na Peter White mpigaji wa muziki wa jazz.  Ameshiriki tamasha nchini Brasil, Cape Verde, na Cameroon.

  with thanks to Prince Claus Fund