4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
  • Madalitso Band

    Country  Malawi
    Genres traditional
    FestivalSauti za Busara 2017
    Recordings📼

    Fungo Lanyemba, 2009

    Naphiri - Madalitso Band

    Madalitso Band
    Madalitso Band

    Kikundi cha Madalatso kiligindulikana mwaka 2009 walipokuwa wakipiga nyimbo zao majianina nje ya maduka huko Malawi.  Muandaajiwa muziki Emanuel Kamwenje aliwapenda namna wanavyoimba na kucheza kwa shangwe kubwa na furaha hivyo akaamua kurekodi nao albamu yao ya “’Fungo Lanyemba”. 

    Wanatumia kinanda kinachoitwa “babatone” ambacho hutengenezwa kienyeji tu, kinanda hichi kinapendwa sana na watu wa malawi.  Pia wanatumia gitala nyuzi nne.

     

    Wanapokuwa hawana kazi za muziki, mpigaji Babatone anafanya kazi za bustani na mpigaji gita ni mlinzi.  Kwa sasa wanaandaa albamu yao ya pili.

     

    travel-big-round-boat-logo
    with thanks to Big Round Boat