4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
 • Upendo Manase

  Country  Tanzania
  Genres roots pop fusion
  Facebook /upendo.manase.9
  FestivalSauti za Busara 2022
  On stage Feb 2022

   Fri 11,  5:00pm Old Fort Main Stage

  Abeneko ft Upendo Manase - (Official Video)

  Upendo Manase
  Upendo Manase

  Upendo Manase ni muimbaji na mwandishi wa nyimbo, mwalimu wa sauti na mjasiliamali aliyejifunza kuimba kanisani.

  Tangu alipomaliza mafunzo yake ya muziki, ameshafanya maonyesho na band mbalimbali katika matamasha tofauti kama Sauti za Busara, Swahili Music Festival, Tanzania, DoaDoa, Performing Arts Market na Bayimba Festival, Uganda, Jumping Village, Belgium, Diani Festival, Kenya, Kenako festival, Germany, Friland festival, Denmark na Fest Africa, Finland.

  Albamu yake ya kwanza ipo katika hatua za mwisho kutoka.