4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
  • Mehdi Qamoum

    Country  Morocco
    Genres spiritual blues jazz reggae rock traditional fusion
    Facebook /qamoummehdi
    FestivalSauti za Busara 2020
    Recordings📼

    MediCament (2016)

    Mehdi Qamoum - Ana W Ana / Live Sessions by Studio Hiba

    Mehdi Qamoum
    Mehdi Qamoum

    Mehdi Qamoum ni mwanamuziki mahili wa Gnawa. Mehdi anaweza kupiga vyombo vingi ikiwa ni pamoja na guembri, outar, karbaou, bendir na besi Gita ya nyuzi nne aliyoitengeneza mwenyewe. Mbali na vipaji vyake vya kushangaza, Mehdi ni mwandishi mzuri wa nyimbo. Nyimbo zake za asili zinazoelezea shida nyingi za kijamii zikijumuisha umaskini, ubaguzi na changamoto za maisha ya ughaibuni. Anakusudia kusaidia jamii yake kwa moyo wote, na jumbe zenye kutia nguvu ili kuongeza thamani ya tamaduni za wamoroko.

    Afrikayna_and_Africa_Art_Lines
    With thanks to Afrikayna and Africa Art Lines