4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
  • Pigment

    Country  Reunion
    Genres roots rock fusion
    Website www.sakifo.com
    Facebook /pigmentnatwar
    FestivalSauti za Busara 2020
    Recordings📼

    Pigment EP, 2018

    Pigment - Rouge Safran / Live Sessions by Studio Hiba

    Pigment
    Pigment

    Wakati Nathalie Natiembé na Mounawar walijikuta wakiimba katika jukwaa moja huko Kabardock, Reunion, wawili hawa aliikonga moja moja na ndipo yalitokea maajabu ya Pigment. Kwa upande mmoja Nathalie Natiembé ni mwenye talanta kubwa ndani yake ila kulingana na undani wa maisha yake ni ngumu sana kuuainisha muziki wake.

    Kwa upande mwingine Mounawar ni mwenye kipaji cha kuimba na kupiga gita kutoka Komoro. Nguvu, karama na shangwe la wawili hawa linatafsiri maajabu ya muziki wao. Mashairi yaliyofafanuliwa vizuri, mpangilio wa asili na nguvu ya kufikisha ujumbe, hayo ndio madhumuni ya Pigment.

    IOMMA_LOGO_BLANC_CMJN
    With thanks to Indian Ocean Music Market