4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
 • Sylent Nqo

  Country  Zimbabwe
  Genres roots fusion band
  Website halisimusic.com
  FestivalSauti za Busara 2022

  Sylent Nqo - Vakuruwe {Official Video}

  Sylent Nqo
  Sylent Nqo

  Sylent Nqo ni mshindi wa tuzo ya mpiga gita, mpiga ala tofauti, muimbaji na muandishi wa muziki kutoka Zimbabwe. Nqo anatumia gitaa late kuelezea hisia zake.

  Mpaka sasa Nqo ameshafanya maonyesho na kushirikiana jukwaa na wasanii mbalimbali kama Oliver ‘Tuku’ Mtukudzi, Chiwoniso Maraire, Mokoomba, Diana Samkange na wengineo wengi.

  With thanks to Halisi Music
  With thanks to Halisi Music