4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
 • Stone Town Rockerz

  Country  Zanzibar
  Genres blues pop jazz rock reggae
  Website zanzibarmusic.org
  Facebook /omollo12
  FestivalSauti za Busara 2019, 2021
  RecordingsKuna Kichwa, 2019

  Stone town rockerz on stage PAZA festival.

  Stone Town Rockerz
  Stone Town Rockerz

  Ilianzishwa mwaka 2017 na mwanafunzi wa Dhow Countries Music Acadmy, Stone town Rockerz wanapiga muziki wenye mchanganyiko wa blues, afrobeat na spiritual reggae zenye radha ya kizanzibar na Tanzania kwa ujumla.

  Kundi linapendezwa na mafanikio ya wanamuziki kama Remmy Ongala, Siti bint Saad, Bi Kidude, Miriam Makeba, Fela Kuti, BB King, Ray Charles, Bob Marley, Ali Farka Toure, bendi imebuni mtindo wao wenyewe, kulingana na uandishi wa nyimbo zinazotungwa na Erasto Omollo na Salum Matata.