4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
  • Wahapahapa Band

    Country  Tanzania
    Genres band fusion traditional
    Website www.wahapahapa.com
    FestivalSauti za Busara 2009, 2017
    Recordings📼

    Tanz Rock, 2008     

    WAHAPAHAPA video profile mp4

    Wahapahapa Band
    Wahapahapa Band

    Wahapahapa ni kundi la wanamuziki wa kitanzania ambao wanamakusidio ya kuusambaza muziki wa kitanzania na lugha ya kisawhili kupitia mashairi ya nyimbo zao, kwenda nchi tofauti ili sanaa ya muziki wa kiswahili na maisha ya mswahili yafahamike duniani.

    Muziki wao ni kutoka hapahapa ndio maana wakaitwa Wahapahapa.  Ijapokuwa wakati mwengine muziki wao unachanganywa na miziki ya asili tofauti ili kunogesha utamu tu!

    Wameshiriki matamasha mengi hapa Tanzania na hata nchi nyenginezo wakishirikiana na wasanii wa nchi tofauti.