4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
  • Mkubwa na Wanawe Crew

    Country  Tanzania
    Genres bongo flava urban hiphop pop fusion
    Website mkubwanawanawetmk.blogspot.com
    Facebook /Ge2tmk
    FestivalSauti za Busara 2019
    Recordings📼

     Tofauti, 2012; Nawashusha Down, 2013; Fanya Yako, 2014; Unanitusi, 2015; Sitakitararira, 2016; Naelewa, 2016; Yerere, 2016

    Ge2 - Yelele ( Official Video)

    Mkubwa na Wanawe Crew
    Mkubwa na Wanawe Crew

    Mkubwa ana Wanawe ni kituo cha kulea na kuendeleza vipaji vya muziki kilichopo Dar es Salaam ambacho kimeanzishwa mwaka 2011.

    Mkubwa na Wanawe imekuwa kama alama ya Said Fella na vijana wake.

    Kituo kimeshapata umaarufu Tanzania na Afrika Mashariki nzima na kimeshafanikiwa kuwatoa wasanii mbalimbali kama Dogo Aslay, Beka, Mboso, Chege, Mh. Temba na wengineo wangi ndani ya Tanzania.

    Onyesho la Mkubwa na Wanawe Crew katika Tamasha la Sauti za Busara 2019 litashirikisha vijana machachari akiweno Kisamaki, Catrima, Theophi na Ge2 aina mbalimbali za muziki kama afropop, rumba na hiphop.