Ogoya Nengo
Country Kenya Genres acoustic traditional Website www.ketebulmusic.org Festival Sauti za Busara 2012 Ni mwanamuziki wa kihistoria ya miongo kadhaa kutoka Kenya, Ogoya Nengo alizaliwa mwaka 1930 katika kijiji kidogo kijulikanacho kwa jina Magoya, karibu na fukwe ya ziwa Victoria katika kabila la Luo. Ametoka katika familia ya waimbaji, karibuni amejiunga katika miradi ya kufanya kazi ya kuwa mjumbe wa kijamii na mchambuzi wa jamii ya waluo, kawaida anajulikana kama dodo.
Katika mwaka 2008 alipokuwa na umri wa miaka 70 alikutana na muandaaji mashuhuri wa muziki Tabu Osusa wa Ketebul Music kwa kushirikiana naye walifanikiwa kurekodi albamu yake ya kwanza Matatu.
Tangu hapo alifanikiwa kufanya maonyesho Afrika Kusini, Ujerumani, Ufaranza na Brazil, na kuwafanya kazi na kampuni ya kisasa ya muziki, Gaara.
Muziki wake unasifika kutokana na uwezo, hisia na sauti ikiambatana na ngoma mbalimbali na vifaa vingine. Atafanya onyesho katika tamasha la Sauti za Busara 2012 na timu yake mpya ya uimbaji: Margaret Arango, Julianne Akoth, Wilfrida Anyango na Pelisse Achieng.
Matatu ipo katika matayarisho na inategemewa kuzinduliwa rasmi mwaka 2012.
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava