4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
  • Utamaduni JKU

    Country  Zanzibar
    Genres roots traditional
    FestivalSauti za Busara 2012
    Utamaduni JKU
    Utamaduni JKU

    Utamaduni JKU ni wakali wa ngoma za utamaduni kama jina lao. Wanapiga ngoma za mbalimbali za kitamaduni kutoka Zanzibar na Tanzania kwa ujumla, ngoma zenyewe kama ifuatavyo msewe, gonga, kyaso, uringe, kibati, bomu, kunguwia, boso, kibunguu, ngokwa, sindimba na lizombe. Kikundi hichi kilianzishwa Zanzibar mwaka 1983 ambako ndio makazi yao makuu. Kikundi hiki kinamilikiwa na kikosi cha jeshi la kujenga uchumi Zanzibar. Wanasifika sana kutokana na mvuto wa maonyesho yao ambayo huyafanya ndani na nje ya Zanzibar.