4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
  • Ndere Troupe

    Country  Uganda
    Genres traditional
    Website www.ndere.com
    FestivalSauti za Busara 2012

    Ndere Troupe 2 - Pots!

    Ndere Troupe
    Ndere Troupe

    Ndere Troupe inajivunia kusheherekea utofauti na kutilia mkazo usawa. Kikundi kilianzishwa Uganda mwaka 1984 na Rwangyezi Stephen, dhumuni lao lilikuwa ni kurejesha imani ya waafrika, utu na fahari, kufundisha vipaji vya usanii hasa kwa nijana wanoishi katika mazingira magumu, kuimarisha mabadiliko ya kijamii na kuimarisha amani na umoja katika sanaa na utamaduni.

    Zaidi ya miaka 27, Ndere Troupe imekuwa ni moja kati ya vikundi maarufu vya Uganda. Makao yao yapo kaskazini mwa Uganda katika jii la kampala kwenye kijii cha Ntinda ambako inapatikana Ndere Centre, ambapo wanaendesha ratiba ya Folklore Nights, Sunday Family hour, World Music Nights na nyinginezo.