Juhudi Taarab
Country Pemba Genres taarab Festival Sauti za Busara 2012 Juhudi Taarab ni hazina ya taarab ya Zanzibar. Kundi lilianzaishwa miaka 70 iliyopita katika kisiwa cha Pemba. Kwa karibu vizazi vitatu wamefanikiwa kuiweka taarab ya asilia hai na kushirikiana na wasanii na watunzi mbalimbali maarufu kisiwani Pemba kama Malik Wastara and Fatma Bakari. Wapigaji na waimbaji huwapa radha halisi watizamaji na mashabiki wao.
Moja ya kikundi kutoka Pemba kitakachofanya onyesho katika tamasha la Sauti za Busara 2012, onyesho lao litamshirikisha muimbaji maarufu wa taarabu kisiwani Pemba Ali Said Wazera na mwimbo wake wa “Bora Niombe”. Asili na historia yao halisi. Juhudi Taarab uwepo wao katika tamasha la Sauti za Busara umewezeshwa na Swahili Performing Arts Center wakishirikiana na ZanAir.
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava