Khaira Arby
Country Mali Genres roots traditional spiritual Website /khairaarby Festival Sauti za Busara 2013 Recordings 📼 Timbuktu Tarab, 2010
Khaira Arby alishawahi kuolewa na mpiga Gitaa nguli Ali Farka Toure, muziki wake wenye asili na mahadhi ya nchini kwake Mali. Khaira hutumia ubunifu wa hali ya juu katika kuchanganya muziki wake wa asili na vionjo vya kisasa.
Khaira amepata umaarufu nchini Mali kama mwanamke wa kiafrika kutoka katika jamii ya kiasili na mwanye kujivunia kuimba. Nyimbo za taratibu za heshima kwa Mtume Mohammed “Salou” au kwa marafiki wazuri “Dja Cheickna” kuwasifu marafiki wazuri wa Arby kutoka katika familia bora “May Dja Cheickna live a good life”.
Hivi karibuni Arby amefanya ziara ya kimataifa ya kimuziki katika matamasha mbalimbali kama SXSW, WOMAD, 3 Culturas, Africa Oye na matamasha mengine. Kiwango chake hukua kutokana na aina ya muziki wake. Alizaliwa karibu na mji wa Timbuktu, na kukulia maeneo ya jangwani. Ubunufu wake ulitokana na watu aliokuwa anaishai nao maeneo ya Magharib ya mji wa Mali, vijana kutoka katika bendi yake ambao wote walikuwa katika mji wa Timbuktu, tangu mwanzo mpaka sasa katika pilikapilika za maisha yao.
Albamu ya hivi karibuni “Timbuktu Tarab” (Clermont Music) iliingizwa katika orodha ya “Routes in Rythms” ya Cd bora ya Dj Yusuf. Khaira anapongezwa kwa kuwa ni Malkia wa muziki wa Mali.
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava