4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: By Country > Burundi
Results: 2 to 2 of 4
 • Batimbo Percussion Magique

  Country  Burundi
  Genres traditional
  Website /public/Batimbo-Percussion-Magique
  FestivalSauti za Busara 2017
  Batimbo Percussion Magique
  Batimbo Percussion Magique

  Batimbo Percussion Magique ni kikundi kizuri kinachopiga ngoma za asili kutoka Burundi. Ni mashuhuri sana kwa upigaji wao wa magoma makubwa.  Ni wasanii waliobobea kwenye sanaa yao hii na ni sifa kwao kuendeleza utamaduni wao huu. Kikundi cha Batimbo kimeshiriki mashindano tofauti nchini Burundi na kushinda tuzo nyingi.

   

  Batimbo wanajishughulisha sana na masuala ya kujenga jamii kwenye nyanja za kuendeleza amani nchini Burundi, kupitia project yao ya ‘Peace and Rehabilitation’.

  Pia ni kikundi kinachotumika mara kwa mara kufanya maonyesho wanapokuja wageni rasmi nchini Burundi.

   

  travel-Africalia
  with thanks to Africalia