4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: By Country > Comoros
Results: 2 to 2 of 4
 • Chébli Msaïdie

  Country  Comoros
  Genres fusion rumba taarab
  Website www.sinaperformance.fr
  FestivalSauti za Busara 2012
  Recordings

  Swahili Songs (1998); Promesses (2002); Jua (2004); Hallé (2011)

  Chebli Msaidié_ngamhandzichiyo.wmv

  Chébli Msaïdie
  Chébli Msaïdie

  Chébli Msaïdie ni mzaliwa wa Comoro, alianza kujifunza kuimba kwa kusoma Qur an. Baba yake alimsaidia kukuza mapenzi yake ya muziki kama kiongozi wa bendi ya chama cha Muziki cha Comoro (Comorian Music Organization), alikuwa mwanzilishi wa uchanganyaji wa taarab asilia, tango na midundo ya cha cha cha. Alipofariki baba yake alikwenda ufaransa katika mji wa Marseille ambapo alipata kazi yake ya kwanza local Virgin Megastore. Haikuchukua muda mrefu baada ya kuacha kazi na kuanza kazi yake mpya kama msanii na mtayarishaji.

  Muziki wake una mchanganyiko wa vifaa mbali mbali ili kuendana na uhalisia wa muziki wake. Chébli Msaïdie analinda asili ya muziki wa Comoro na kujaribu kuongeza vionjo. Huchanganya rumba kutoka Congo, taarab kutoka Comoro na baadhi ya vionjo kutoka magharibi.

  Albamu yake ya karibuni yenye jina Halle maana ya “hadithi”kwa lugha ya kikomoro na ni mmoja kati ya wasimulizi wazuri wa hadithi.