4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: By Country > Malawi
Results: 2 to 2 of 5
 • Faith Mussa

  Country  Malawi
  Genres traditional pop fusion
  Website faithmussa.com
  Facebook /FaithMussacheMuphuwa
  FestivalSauti za Busara 2019
  Recordings

   Desperate, 2013; Maybe Tomorrow (ft. Theo Thomson), 2015; Mdidi (single), 2017; Mdidi (album), 2018 

  Faith Mussa- "MDIDI"(animation video)

  Faith Mussa
  Faith Mussa

  Faith Mussa ni mtnzi, mwimbaji, mpiga gitaa na mshindi wa tuzo ya Muimbaji wa Afro-Soul, Faith amepata umaarufu kwa aina yake ya uimbaji jukwaani na mchanganyiko wa ngoma za asili kutoka Malawi. Nyota njema huonekana asubuhi, safari yake kimuziki ilianza alipokuwa mdogo alitengeneza gitaa kutokana na dumu la plastiki na makopo ya maziwa kama ngoma akishirikiana na ndugu katika mji wa Ndirande. Baada ya kuwa na bendi ya familia kwa miaka kadhaa hatimaye mwaka 2013 Faith aliamua kutoa albamu yake mwenyewe (Desparete) kabla ya hapo alikuwa tayari ameshafanya maonyesho katika katika matamasha mbalimbali ikiwemo Glastonbury, Lake of Stars, Arts festival of Northern Norway, World Fest California, Tumaini Festival na mengineyo. Nchini Malawi pekee amezawaidiwa tuzo mbalimbali za heshima kama MAM kwa tuzo bora ya mwaka 2013 Nyasa Award kwa nyimbo bora mwaka 2017 na Malawi Special Achievers Award 2017.

   

  Faith Mussa anaangazia zaidi katika haki za kibinadamu na kijamii. Katika hili ameshafanya kazi na UNICEF, Plan International kama Balozi wa Oxfam na GIRL Effect Malawi.

  Kwa sasa anakaribia kutoa Albamu yake ya pili ambayo itasheheni vipaji vya wanamuziki mbalimbali aliokutana nao katika safari yake kimuziki.

  travel_sponsor_swis
  With thanks to Pro Helvetia & SDC