4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: By Country > Mali
Results: 2 to 2 of 5
 • Khaira Arby

  Country  Mali
  Genres roots traditional spiritual
  Website /khairaarby
  FestivalSauti za Busara 2013
  Recordings

  Timbuktu Tarab, 2010

  the Timbuktu diva Khaira Arby : desert blues

  Khaira Arby
  Khaira Arby

  Khaira Arby alishawahi kuolewa na mpiga Gitaa nguli Ali Farka Toure, muziki wake wenye asili na mahadhi ya nchini kwake Mali. Khaira hutumia ubunifu wa hali ya juu katika kuchanganya muziki wake wa asili na vionjo vya kisasa.

  Khaira amepata umaarufu nchini Mali kama mwanamke wa kiafrika kutoka katika jamii ya kiasili na mwanye kujivunia kuimba. Nyimbo za taratibu za heshima kwa Mtume Mohammed “Salou” au kwa marafiki wazuri “Dja Cheickna” kuwasifu marafiki wazuri wa Arby kutoka katika familia  bora “May Dja Cheickna live a good life”.

  Hivi karibuni Arby amefanya ziara ya kimataifa ya kimuziki katika matamasha mbalimbali kama SXSW, WOMAD, 3 Culturas, Africa Oye na matamasha mengine. Kiwango chake hukua kutokana na aina ya muziki wake. Alizaliwa karibu na mji wa Timbuktu, na kukulia maeneo ya jangwani. Ubunufu wake ulitokana na watu aliokuwa anaishai nao maeneo ya Magharib ya mji wa Mali, vijana kutoka katika bendi yake ambao wote walikuwa katika mji wa Timbuktu, tangu mwanzo mpaka sasa katika pilikapilika za maisha yao.

  Albamu ya hivi karibuni “Timbuktu Tarab” (Clermont Music) iliingizwa katika orodha ya “Routes in Rythms” ya Cd bora ya Dj Yusuf. Khaira anapongezwa kwa kuwa ni Malkia wa muziki wa Mali.