4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: By Country > Various
Results: 2 to 2 of 3
 • Swahili Encounters

  Country  Zanzibar Various
  Genres fusion
  Website www.busaramusic.org
  FestivalSauti za Busara 2004, 2006, 2007, 2009, 2010, 2011, 2014, 2015, 2017, 2019, 2020
  Swahili Encounters
  Swahili Encounters

   

  Katika wiki linayoendea Tamasha, Busara Promotions inafanya kazi pamoja na Zanzibar Dhow Countries Music Academy (DCMA), kutoa nafasi adhimu na nzuri kwa wasanii wa ndani na wa kimataifa kukutana na kutengeneza muziki mpya.

  Zaidi ya siku nne wasanii hukaa pamoja na hujifunza kwa vitendo, muunganiko wao huzaa muziki mpya wenye vionjo mbalimbali kutoka kila sehemu ya mshiriki husika. Ni wiki ya mambo mapya wasanii huumiza vichwa na hatimae hutoka na ladha maridhawa ya muziki wenye mchanganyiko wa lugha mbalimbali na Kiswahili.

  Swahili Encounters 2020 inakusanya wasanii kutoka Zanzibar, Tanzania, Ghana, Uingereza, Moroko na Algeria. Matokeo ya ushirikiano huo huwa wanashirikishwa watazamaji kwa kufanya shoo maalum katika Tamasha.