4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: A - Z > D
Results: 2 to 2 of 21
  • Damian Soul

    Country  Tanzania
    Genres urban pop
    Facebook /DamianSoulMusic
    Instagram /damiansoulmusic
    FestivalSauti za Busara 2019, 2023
    Recordings📼Kaumba, 2016; Tudumishe, 2015; Ni Penzi, 2014; Data, 2017; Asante, 2019; Mapopo, 2021

    Damian Soul - Mapopo (feat. Nhlonipho ) (Official Video) SMS SKIZA 7918788 to 811

    Damian Soul
    Damian Soul

    Damian Innocent Mihayo, maarufu kama Damian Soul, ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mpiga gitaa kutoka Tanzania.

    Damian aliyezaliwa na kukulia Sinza, Dar es Salaam, anafanya mitindo mbalimbali ya muziki ikiwa ni pamoja na afro-soul, afro-jazz, R&B, na bongo flava. Ana mvuto mkubwa jukwaani, ambapo yuko mstari wa mbele kwenye ‘live’ bongo flava.

    Akiwa na albamu nne chini ya mkanda wake, amewashirikisha wasanii wengi wa hapa nchini, akiwemo Joh Makini, Vanessa Mdee, G Nako, Nikki wa Pili, Barnaba na wengineo.