4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: A - Z > L
Results: 2 to 2 of 10
  • Lelelele Africa

    Country  Kenya
    Genres coastal pop taarab
    Website www.rootscampkenya.com
    FestivalSauti za Busara 2011
    Recordings📼

    Mombasa Michikicho and Lololo (2010)

    Lele Lele Africa - Mwanate Kibwana ( I love u so much )

    Lelelele Africa
    Lelelele Africa

    Kundi la taarabu kutoka Mombasa formally known as Diamond Star lilianzishwa mnamo mwaka 1995. Kundi hili lipo makini katika uhifadhi wa lugha ya Kiswahili katika mwambao wa Afrika Mashariki. Kundi hili la wana sanaa saba hutumia ala kama harmonium, violins, tamborin na viombo vya kisasa kama vile magitaa ya umeme na vinanda pamoja na sauti za waimbaji. Lelelele Africa kweli inawakilisha utajiri mkubwa wa mziki wa taarabu ndani ya Kenya. Hivi sasa kikundi hiki kinashugulikia kurekodi kazi zake za zamani katika wadhifu wa digital na utenegenezaji wa video zao ambazo zilirekodiwa kitambo katika mfumo wa redio na kassetti. Sasa wanaendelea na uhifadhi wa tungo za Elchie ambazo zingepotea pasipo kurekodiwa na kuhifadhiwa uzuri.

    540-LOGO_145x100
    With thanks to Fly540