4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: A - Z > Q
Results: 2 to 2 of 2
 • Qwela

  Country  Uganda
  Genres band fusion
  Website /qwelamusic
  FestivalSauti za Busara 2012
  Recordings

  Kidepo (2008); Mama Tokaaba (2011)

  QWELA "TENDEKO"

  Qwela
  Qwela

  Qwela ni bendi ya vijana machachari kabisa kutoka Uganda, amekulia katika utamaduni wa kiafrika na kuvutiwa na utamaduni wa kimagharibi. Kikundi cha wanamuziki vijana, hupiga nyimbo kali na mashuhuri kwa miaka minne, imekuja kuwa bendi madhubuti katika mapinduzi ya muziki katika mji wa Kampala.

  Wameshafanya maonyesho na wasanii mbalimbali kutoka Kenya Eric Wainaina, na The Villagers Band, Riff Raff (Ireland), Amp Fiddler (Detroit), Kinobe and Soul Beat Africa (Uganda), Claire Phillips (South Africa) na Jonas Soul kutoka Denmark. Kwa sasa anafanya maonyesho ya jioni katika kumbi mbalimbali mji wa Kampala kwa siku kadhaa katika wiki.