4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: Genre > roots
Results: 163 to 163 of 177
  • Uwaridi Female Band

    Country  Zanzibar
    Genres coastal roots fusion
    Website www.musicinafrica.net
    Facebook /uwaridifemaleband
    Instagram /uwaridi_female_band
    FestivalSauti za Busara 2023

    #LIVE :🔴UWARIDI FEMALE BAND (Zanzibar) at Sauti za Busara 2023 festival, on Main Stage, Day 2

    Uwaridi Female Band
    Uwaridi Female Band

    Uwaridi Band ni kikundi cha wanawake wenye vipaji,wanamuziki mahiri na wenye nguvu. Wanapiga ala mbalimbali, kama violin, accordion, tabla, cajon, ngoma, zeze, rimba, sanduku, vidumbaki, na rika.

    Wanahifadhi urithi wa kitamaduni wa Zanzibar na kusaidia kuupeleka mbele kwa kuchanganya sauti za kitamaduni na mipangilio ya kisasa.

    Waimbaji wa bendi hiyo wanatengeneza nyimbo zao zenye wigo mpana zikiwemo taarab za asili, ngoma, muziki wa kigogo, kidumbak na miondoko mingine ya kusisimua.