4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: Year > 2022
Results: 19 to 19 of 19
  • Zan Ubuntu

    Country  Zanzibar
    Genres roots dance fusion
    Website zanzibarmusic.org
    FestivalSauti za Busara 2022, 2023

    Zan Ubuntu - Live performance at Marafiki Music Festival 2021 (Dar es Salaam)

    Zan Ubuntu
    Zan Ubuntu

    Zan Ubuntu ni kikundi kilichosheheni vijana wenye vipaji. Bendi ni mpya sana lakini imejizolea umaarufu kwa muda mfupi hapa Zanzibar, bendi inafanya Afro-fusion ya nguvu. Zan Ubuntu inaundwa na vijana 16, vipaumbele na thamani yao ni uadilifu, umoja, mshikamano, udadisi, ubora na unyenyekevu.

    Zan Ubuntu wanachanganya Sanaa tofauti katika maonyesho yao ikiwemo muziki, kuimba, Kapoera, Ngoma za asili, kisasa na maigizo.