4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: By Country > Mali
Results: 3 to 3 of 5
 • Oumar Konaté

  Country  Mali
  Genres blues roots rock
  Website www.clermontmusic.com
  Facebook /oumar.konate.395
  FestivalSauti za Busara 2020
  Recordings

  Lahidou, 2009; Addoh, 2014; Maya Maya, 2016; Live in America, 2017; Live in Bamako, 2018; I Love You Inna, 2019

  Oumour Konate - "Koima Djiney"

  Oumar Konaté
  Oumar Konaté

  Oumar Konaté ni mwanamuziki mpya mahiri anayeibuka kwenye upigaji wa gita wa Kiafrika na yuko kwenye moja ya hadithi mpya za waandishi wa habari wa tasnia ya sanaa ya muziki kutoka Mali. Ameandamana na wasanii wengi wa Mali kwenye safari za kimataifa za matamasha na rekodi ikijumuisha Vieux Farka Toure, Kounkako Sata, Alpha Diakité, Sidi Touré, Khaira Arby, na wengine wentgi.

  Albamu yake ya hivi karibuni, "I Love You Inna", inaleta nguvu mpya kwenye mchanganyiko wa kimuziki, wakati mwingine shangwe, wakati mwingine hasira nk. Oumar Konaté ni talanta iliyoahidi kutengeneza mawimbi katika mabara kadhaa.

  clermont_music_logo
  With thanks to Clermont Music