Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava
Artists: A - Z > U
Results: 3 to 3 of 5
Results: 3 to 3 of 5
Usambara Sanaa Group
Country Tanzania Genres traditional Festival Sauti za Busara 2017 Kikundi hichi ni cha wasambaa na muziki wao ni wa asili ya wasambaa kutoka Lushoto na Korogwe huko Tanga. Wasanii wote wa kikundi hiki ni wakaazi wa Dar es Salaam.
Dhumuni kubwa la kikundi hiki ni kudumisha mila na sanaa za muziki na ngoma ya wasambaa ijulikanayo kama Mdumange.
Mdumange ni ngoma inayopigwa wakati wa furaha kama vile wakati wa harusi, wakati wa mavuno na pale wageni wanapokuja kuwatembelea wasambaa. Ngoma hii inachezwa kwa mduara na huwajumuisha watu wote kusherehekea.
Ala zinazotumika kupiga Mdumange ni ngoma moja ndogo amboayo ndio inayoanza kupigwa pia kuna ngoma kubwa sita, na ngoma moja ya bati la aluminium hizi zote hupigwa na mtu mmoja. Wasanii waliobakia huimba na kucheza.