4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: Festival Line-up > 2022
Results: 3 to 3 of 19
 • Sjava

  Country  South Africa
  Genres roots urban pop hiphop fusion
  Website /wiki/Sjava
  Facebook /Sjava_atm
  FestivalSauti za Busara 2022
  RecordingsIsina Muva, 2016; Umphako EP, 2018; Umqhele, 2018; Umsebenze EP, 2020
  On stage Feb 2022

   Sun 13,  10:20pm Old Fort Main Stage

  Sjava - Umama (Official Music Video) (Prod. Mace)

  Sjava
  Sjava

  Jabulani Hadebe almaarufu Sjava, mzaliwa wa Kwa Zulu Natal, South African, mwanamuziki mbunifu wa hiphop na R&B iliyochanganyika na midundo ya kiasili.

  Umaarufu wake ulikuwa alipoanza kuonekana kwenye filamu mwaka 2005, alionekana kwenye filamu uGugu no Andile na the drama series Zone 14, ikafuata misimu mitatu mfululizo. Sjava alijitosa kwenye tasnia ya muziki na kupata umaarufu baada ya kumshirikisha Miss Pru's katika nyimbo “Ameni” mwaka 2015.

  Albamu ya kwanza ya Sjava ilikwenda kwa jina, Isina Muva (2016) ambapo aliweza kuutambulisha muziki wake ambapo alichanganya afrobeats, hiphop pamoja na R&B ya kisasa. Albamu ilimpatia sifa na kufanikiwa kupata tuzo za SAMA kama albamu bora. Award for Best Produced Album. Albamu yake ya pili iliyompatia sifa ni “Umqhele” (2018) akaendelea kutambulisha ubunifu wake na kushinda tena tuzo za SAMA kama Albamu bora ya Mwaka.

  Sjava alijiongezea umaarufu kimataifa kupitia nyimbo yake ‘Season’ kushirikishwa kwenye filamu ya Black Panther mwaka 2018, mwaka huohuo Sjava akashinda tuzo za BET kama Best New International Act.

  Cartel-2-High-Res
  With thanks to 1020 Cartel: https://1020cartel.com/