4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Del
Results: 3 to 3 of 3
 • Maallem Abdelkebir Merchane

  Country  Morocco
  Genres roots spiritual traditional
  Website /Abdelkebir.Merchane.Officiel
  Facebook /Abdelkebir.Merchane.Officiel
  FestivalSauti za Busara 2022
  On stage Feb 2022

   Sat 12,  7:05pm Old Fort Main Stage

  maallem Abdelkebir Merchane festival gnaoua Essaouira

  Maallem Abdelkebir Merchane
  Maallem Abdelkebir Merchane

  Mkongwe wa muziki wa Gnaoui ambaye alianza kujifunza muziki huo akiwa na umri wa miaka tisa huku akishiriki kwenye sherehe za kimila. Walimu wake wakuu Mohamed El Ayachi Bakbou Sam na Hmida Boussou walimuanzisha katika ngoma ya utamaduni, Tagnaouite na aina yake ya sasa ikijumuisha Marsaoui na Marrakech.

  Ameshatoa nakala nyingi na kushiriki kwenye matamasha mbalimbali barani Ulaya, nchi za kiarabu, Japan, India na kwingineko. Vilevile ameshafanya maonyesho na wasanii mbalimbali akiwemo Mokhtar Samba, Jean Philippe Rykiel, Karim Ziad na wengineo wengi.

  Merchane kwa sasa anaongoza kikundi cha Ouled Sidi H’Mou, kinachojumuisha wasanii takriban nane kutoka katika jiji la Marrakech. Ouled Sidi H’Mou lilianzishwa mwaka 1970 na ni moja ya kikundi kikongwe na balozi wa Sanaa na muziki wa Gwana ulimwenguni.

  AFRIKAYNA
  With thanks to Afrikayna: http://afrikayna.com/