4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: Genre > rock
Results: 4 to 4 of 15
 • Grace Barbé

  Country  Seychelles
  Genres afrobeat band fusion rock roots
  Website www.gracebarbe.com
  FestivalSauti za Busara 2017
  Recordings

  Kreol Daughter, 2009; Welele! 2014

  LIVE at Camp Doogs 2015 - Grace Barbé

  Grace Barbé
  Grace Barbé

  Grace Barbe anatokea visiwa vya Ushelisheli ambavyo vipo kwenye ukanda wa bahari ya Hindi.  Vsiwa hivi vina asili na mchanganyikowa mambo mengi yanohusiana na maharamia, utumwa, na mapinduzi ya kisiasa, na kama visiwa vilivyo vina minazi mingi.  Mchanganyiko huu umejenga aina ya kipekee ya mila,desturi na lugha yao ya ki Kriol ambayo imechanganya mambo yote hayo.

  Muziki wa Grace Barbe unatokana na miziki yenye asili ya tangu zama za watumwa, na anachanganya na mziki wa rock, reggae na mziki wa kizazi kipya.

   

  Grace anapiga bass guitar na mdogo wake wa kike anaeitwa Joelle anapiga ngoma kwenye kikundi hicho. Mpiga guitar ni Jamie Searle.

   

  Muziki wa Grace Barbe umekuwa ukiwatumbuiza wapenzi wa muziki tangu alipotoa albamu yake ya Kreol Daughter hapo mwaka 2009, ambapo pia alifanya maonyesho yake kwenye visiwa vya bahari ya hindi, alikwenda nchini India, na huko nchini Australia alishiriki kwenye matamasha makubwa mengi kama Womadelaide, WOMAD ya New Zealand, Byron Bay Bluefest na hata tamasha la Woodford. 

   

  Barbe ni mshindi mara sita (6) wa tuzo ya ‘kikundi bora duniani’, ambayo hutolewa kwenye  jimbo analoishi la Australia ya Magharibi.

   

  Grace Barbe, anapenda kuendeleza na kufanya maonyesho yake ya kuitukuza asili ya ki Kreol, hivi sasa yumo ziarani kutangaza albamu yake ya Walele!

   

  travel-sponsor-Grace-Barbe-afrotropik-WEB
  with thanks to Afrotropik