4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: Most Popular
Results: 396 to 396 of 441
  • Aleksand Saya

    Country  Reunion
    Genres roots fusion
    Website saya.re
    Facebook /saya.974
    FestivalSauti za Busara 2022
    Recordings📼Domin, 2021

    Aleksand Saya Move Zerb

    Aleksand Saya
    Aleksand Saya

    Aleksand Saya’s music path began in the 1990s Réunion Island hiphop and underground reggae scenes. While he evolved into performing at sound systems and block parties, he fell in love with maloya music, a vector of history, emotions and traditions.

    Through ‘kabar’ events, lifted by maloya’s powerful rhythms and instruments, Saya chose to make it the cornerstone of his work. Animated by his curiosity and open-mindedness to the world, the multi-instrumentalist blended beat-making and sampling with roulèr, kayanm and other traditional maloya instruments, now set on a new path of what he calls ‘M’Bas Music’ (maloya bass).

    “Electro-maloya is a young scene”, says Saya. “It takes time to grow, and that’s good, because it means the roots will be strong. Trees with strong roots give good fruits and live long. We are still only a few DJs and producers involved in the creation of this new sound. I have the sensation we are at the beginning of something that’s gonna be really huge, and sooner than we think. M’Bas music is for everyone, it’s a call to reunite people. It doesn’t matter where you come from, M’Bas is universal, a celebration of life and togetherness.”

    Muziki wa Aleksand Saya ulianzia miaka ya 90 katika visiwa vya Reunion alipokuwa anafanya muziki hiphop ya visiwani na chipukizi wa muziki wa Rege. Alivyoendelea kufanya muziki kwenye shughuli kubwa kubwa mapenzi yake yalidondokea kwenye muziki wa Maloya, katika muelekeo wa kihistoria, hisia na utamaduni.

    Kupitia matukio ya Kabar yaliyopelekea utungaji wa mashairi maridhawa na vifaa vya muziki wa Maloya, Saya alifanya kama ni msingi wa kazi zake. Ameweza kuubadilisha muziki wa Maloya kwa kuutengeneze biti na ala mbalimbali za muziki wa maloya ikiwemo roulèr na kayanm na kufanikiwa kuonyesha njia mpya anayoiita ‘M’Bas Music’ (maloya bass).

    Saya anasema “Electro-maloya ni eneo la vijana. Inachukua muda kukua, na ni vizuri kwa sababu itakuwa imara. Mti wenye mizizi imara hutoa matunda mazuri na kuishi muda mrefu. Tupo Ma-DJ wachache tunaoweza kubuni na kuzalisha muziki huu. Inanipa Imani kwamba tupo mwanzoni mwa kitu kitakachokuwa kikubwa sana hivi karibuni kuliko tunavyofikiria. M’Bas music ni kwa kila mtu, ni wito wa kuunganisha watu. Haijalishi unatoka wapi, M’Bas ni kwa ulimwengu mzima, kufurahia maisha na umoja pia.”

    IOMMA_LOGO_BLANC_CMJN
    With thanks to IOMMA: https://www.iomma.net/