4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: Most Popular
Results: 407 to 407 of 441
  • Kikundi cha Idara ya Utamaduni

    Country  Zanzibar
    Genres acoustic traditional dance
    FestivalSauti za Busara 2023
    Kikundi cha Idara ya Utamaduni
    Kikundi cha Idara ya Utamaduni

    Kikundi hicho kiliundwa chini ya Idara ya Utamaduni kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ya Zanzibar tangu mwaka 1995.

    Kikundi hiki kinajumuisha wapiga ngoma, wanaume na wanawake wengi, waimbaji na wacheza densi ambao wanadumisha, kuhifadhi na kuendeleza urithi wetu wa kitamaduni. Wanacheza ngoma za aina mbalimbali za asili kutoka Tanzania nzima ikijumuisha kyaso, mkurungu, msihaya, soba, msewe, gonga, kiumbizi, mdalamga, kituwatuwa na zaidi.

    Kikundi cha Idara ya Utamaduni kimetumbuiza katika matamasha mengi ikiwemo Korea, Dubai, Oman na India.

    Usikose fursa ya kufurahia onyesho lao katika Sauti za Busara 2023.