4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: A - Z > I
Results: 7 to 7 of 14
  • Imena Cultural Troupe

    Country  Rwanda
    Genres dance roots traditional
    Website /IMENA-Cultural-Troupe-1-569850109858847
    FestivalSauti za Busara 2005, 2007, 2017
    Imena Cultural Troupe
    Imena Cultural Troupe

    Imena Cultural Troupe wanatokea Kigali, Rwanda.  Kikundi hichi cha sanaa kimekuwa kikifanya maonyesho ya ngoma za kiasili kwa muda wa miaka ishirini sasa.  Maonyesho yao ni ya kupendeza sana kutoka kwa wapigaji ngoma wao ambao ni mahiri hadi namna wanavyocheza.

    Baada ya vita vya mwaka 1994 huko Rwanda viliwaacha watu wa nchi hiyo kwenye hali mbaya na ya huzuni kubwa.  Hivyo kikundi hichi kiliamua kuwaunganisha watu wa Rwanda kwa kutumia nyimbo na ngoma zao, na kusaidia kurejesha furaha kwenye jamii hususan watoto wadogo.  Nyimbo zao zinawalenga sana watoto na haki zao.

     

    travel-Africalia
    with thanks to Africalia