Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava
Artists: A - Z > I
Results: 7 to 7 of 14
Results: 7 to 7 of 14
Imena Cultural Troupe
Country Rwanda Genres dance roots traditional Website /IMENA-Cultural-Troupe-1-569850109858847 Festival Sauti za Busara 2005, 2007, 2017 Imena Cultural Troupe wanatokea Kigali, Rwanda. Kikundi hichi cha sanaa kimekuwa kikifanya maonyesho ya ngoma za kiasili kwa muda wa miaka ishirini sasa. Maonyesho yao ni ya kupendeza sana kutoka kwa wapigaji ngoma wao ambao ni mahiri hadi namna wanavyocheza.
Baada ya vita vya mwaka 1994 huko Rwanda viliwaacha watu wa nchi hiyo kwenye hali mbaya na ya huzuni kubwa. Hivyo kikundi hichi kiliamua kuwaunganisha watu wa Rwanda kwa kutumia nyimbo na ngoma zao, na kusaidia kurejesha furaha kwenye jamii hususan watoto wadogo. Nyimbo zao zinawalenga sana watoto na haki zao.
with thanks to Africalia