4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: Year > 2015
Results: 7 to 7 of 36
 • Capoeira Brazil Zanzibar

  Country  Zanzibar
  Genres acrobats dance traditional
  Website www.embracezanzibar.org
  FestivalSauti za Busara 2015
  Capoeira Brazil Zanzibar
  Capoeira Brazil Zanzibar

  Grupo Capoeira Brasil kiliundwa mwaka 1989 na Mestre Boneco, Mestre Paulinho Sabiá pamoja na Mestre Paulão Ceará. Grupo Capoeira Brasil hivi sasa limesambaa kimataifa wakiwa na makundi 1,300 na waalimu 400.  Capoeira Brasil Zanzibar linaongozwa na Mestre Juruna Mestre Biriba pamoja na Mestre Popoban. Wamekua wakifundisha vijana wakizanzibari katika chuo cha Dhow Countries Music Academy (DCMA), Chukwani Zanzibar Mjini pamoja na Chwaka, iliyopo pwani ya Mashariki.
  Capoeira inafahmika kwa mabadiliko ya kasi na migumu, kutumia nguvu, kasi na uwezo wa kujiinua na kurusha mateke, kubinuka pamoja na mbinu nyingine tofauti za hali ya juu. Ni burudani sana pia kushiriki au kutazama tu.