#SzB2021 Festival Line-up

Dulla Makabila (Tanzania); Msafiri Zawose (Tanzania); Vitali Maembe (Tanzania); Barnaba Classic (Tanzania); Siti Muharam (Zanzibar); Djam (Algeria); Morena Leraba (Lesotho); TaraJazz (Zanzibar); Sandra Nankoma (Uganda); Ison Mistari aka Zenji Boy (Zanzibar); Richie Lumambo (Tanzania); Tofa Boy (Zanzibar); Shabo Makota (Tanzania); Stone Town Rockerz (Zanzibar); ...and more

na wengineo watakapoendelea kuthibitisha ushiriki wao.


Sauti za Busara 2021 

Sauti za Busara ni tamasha la muziki wa kiafrika ambalo huandaliwa na Busara Promotions kila mwaka mwezi wa pili. Busara Promotions ni taasisi isiyo ya kibiashara imesajiliwa na Baraza la Sanaa Zanzibar mwaka 2003. Katika Busara unapata kusheherekea tamaduni mbalimbali na maonyesho la laivu, Tamasha linatoa ajira katika tasnia ya muziki wa Afrika Mashariki na kubadilishana na ukanda mwingine wa Afrika.

Muziki wa kiafrika unawaunganisha watu na kusheherekea. Mchanganyiko wa wasanii wa kipekee na wadau katika tamasha la Sauti za Busara ndio chachu ya mafanikio. Watu 29,000 kutoka pande tofauti za dunia walihudhuria siku nne za tamasha mwezi wa pili 2020, mwezi mmoja tu kabla ya kesi ya kwanza ya virusi vya corona kutangazwa Tanzania.

Tunashukuru, idadi ya vifo bado ipo chini kwenye nchi hii. Hata ivyo, kwa kuzingatia vizuizi vya kusafiri na kutokuwa na uhakika mwingine, tamasha letu lijalo litakuwa kwa siku mbili. Tutaonyesha dunia kwamba mziki wa kiafrika bado unaishi na una nguvu, na kuonyesha jinsi muziki  wetu una mchango kijamii, kitamaduni na kiuchumi.

Vipaumbele vyetu ni kwa wasanii, wageni, wazanzibar na watanzania na wote wanaohusika na maandalizi ya tamasha. Hatua zaidi za kiusalama zitachukuliwa kuhakikisha Sauti za Busara 2021 inazidi matarajio.

 • Tamasha lijalo la Sauti za Busara litarindima katika viunga vya Mji Mkongwe kuanzia Tarehe 12 – 13 Februari 2021
 • Ngome Kongwe, jukwaa kuu litajumuisha viundi 14 kutoka Zanzibar, Tanzania, Uganda, Afrika Kusini, Mozambiki, Ghana, Gambia, kisiwa cha Reunion, Moroko na Algeria (vitathibitishwa)
 • Punguzo kubwa la Tiketi linapatikana mpaka 31 Oktoba 2020
 • Busara Xtra pia ni matukio mbalimbali yanakayoandaliwa na wenyeji yatafanyika Zanzibar na viunga vyake kuanzia tarehe 7 – 14 Februari 2021

Karibuni sana.


Sauti za Busara 2021: Festival Artists (official playlist)

Warming up to the next festival to shake the walls of Stone Town, Zanzibar during 12 – 13 February 2021, we proudly present for your enjoyment a clip by each of the confirmed artists: Yugen Blakrok (South Africa); Dulla Makabila (Tanzania); Barnaba Classic (Tanzania); Siti Muharam (Zanzibar); Dawda Jobarteh (The Gambia); Djam (Algeria); Morena Leraba (Lesotho); Sika Kokoo (Ghana); Sandra Nankoma (Uganda); Dogo Fara (Reunion); Stone Town Rockerz (Zanzibar); Richie Lumambo (Tanzania); Tofa Boy (Zanzibar); Shabo Makota (Tanzania) and more. 

#sautizabusara #zanzibar #lovelivemusic #SzB2021 #aliveandkickin 


Latest Media CoverageSee more

mia logoCall for applications: Sauti za Busara 2022

By Music in Africa, 23 April 2021

Applications are now open for the 2022 edition of Sauti za Busara festival in Zanzibar, Tanzania, to be held from 11 to 13 February. The annual festival increases the visibility and accessibility of the live African music sector, develops skills and opportunities for music professionals and strengthens regional and international networking for artists. read more


MiASauti za Busara Festival 2021, Zanzibar review – 2500 gather to celebrate music unlocked

By The Arts Desk, 19 Feb 2021

“Zanzibar, are you ready?” yells the singer from the stage.There’s a huge cheer. It seems the crowd – and it is a crowd – is certainly ready. In shades, a flat cap and dreadlocks down his back, singer Barnaba Classic is on stage at Zanzibar’s Sauti za Busara festival. Over from Dar es Salaam, Barnaba is a big star in Tanzania and is headlining the festival’s first night after seven hours of music. … read more


Sauti za Busara to broadcast live across Africa

The Citizen, 3 Feb 2021

Having thrilled audiences with live performances under the skies of Stone Town, Zanzibar since its inception in 2004, this year’s festival is set for the first time to broadcast live across African countries on Plus TV via DStv … read more


Sauti za Busara kutangazwa mubashara Afrika

Mwananchi, 3 Feb 2021

Baada ya kutumbuiza mubashara na kuleta shamrashamra katika viunga vya Mji Mkongwe, Zanzibar tangu ilipoanzishwa 2004, mwaka huu tamasha litaoineshwa mubashara barani Afrika kupitia Plus TV kwenye kisimbuzi cha DStv’s Channeli 294. … soma Zaidi


mwanaspoti logoDulla Makabila kuwasha moto tamasha la Sauti za Busara

by Mwanaspoti, 20 Jan 2021

Wasanii Dulla Makabila na Barnaba Classic wanatarajiwa kuwa moja ya wasanii watakaowasha moto katika tamasha la Sauti za Busara litakalofanyika visiwani Zanzibar mwezi Februari.

Hayo yamebainika leo Jumatano Januari 20, 2021 katika mkutano wa waandishi wa habari na waratibu wa tamasha hilo, uliofanyika jijini Dar es Salaam. …read more


DONORS AND SPONSORS


 • Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
 • CRDB Bank
 • Zanlink
 • Emerson Zanzibar
 • Plus TV
 • Chuchu FM Radio
 • Zanzibar Broadcasting Corporation
 • Zanzibar Cable TV
 • Zanzibar International Film Festival (ZIFF)
 • Firefly Bagamoyo
 • Golden Tulip Dar City Centre
 • Tasakhtaa Hospital
 • Mozeti
 • Music in Africa
 • iomma
 • womex
 • DAR-LIFE
 • 2 Tech Security
 • Zanzibar Serena Hotel
 • Coastal Aviation
 • Colors of Zanzibar
 • Azam Marine
 • United Petroleum
 • Cafe Foro
 • Stone Town Cafe
 • Zanrec