4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Apio Moro
Results: 1 to 1 of 1
  • Apio Moro

    Country  Uganda
    Genres acoustic roots
    Facebook /apiomoroug
    FestivalSauti za Busara 2020
    Recordings📼

    Afriedom, 2019

    Apio Moro
    Apio Moro

    Kutoka Tororo, Uganda ya Mashariki, Apio Moro ni mwandishi wa nyimbo miondoko ya Afro-soul ambayo hupelekea ugunduzi mwingi unaoendelea kupitia muziki wake. Kupitia mfumo wa maisha yake amewezesha watu wengi kujua jinsi gani wanaweza kutumia muziki kuyaelezea maisha yao. Huwa ahaidi kukuteka hisia zako kimihemko, bali atakubeba taraatibu, salama na kumaliza mashaka yako yote na kukuacha umeridhika kimuziki.

    africalia
    With thanks to Africalia