4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Bismillahi Gargar
Results: 1 to 1 of 1
  • Bismillahi Gargar

    Country  Kenya
    Genres fusion roots traditional
    FestivalSauti za Busara 2011
    Recordings📼

    Garissa Express (2010)

    Gargar Live

    Bismillahi Gargar
    Bismillahi Gargar

    Bismallah Gargar ni mchanganyiko wa wanawake wenye asili ya Somalia kutoka Garisa kaskazini mashariki mwa Kenya. Jina la Bismillah linatokana na neno la kisomali lenye maana ya “kwa jina la mungu” (in the name of god) na “gargar” ina maana ya kuwaweka watu pamoja (bringing people together). Kundi lilianzishwa mwaka 2003 lengo la kundi lilikuwa ni kujiwezesha kutokana na baadhi ya sehemu kulikuwa kuna mila potofu za kumkandamiza mwanamke. Albam yao ya kwanza waliipa jina la Garisa Express iliyorekodiwa kwa muda wa miaka miwili ilipitia safari ndefu sana kwenda na kurudi kati ya Garisa na Nairobi. Muziki wao ni wa kiasili na wa kipekee wenye lugha ya kisomali. Bismillahi Gargar walirekodi na vyombo vya kisasa na kuwafanya albam yao ya Garisa Express kuwa ya kujivunia kwa mwaka 2010 nchini Kenya.

    540-LOGO_145x100
    With thanks to Alliance Franҫaise de Nairobi & Fly540