4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Groove Lélé
Results: 1 to 1 of 1
  • Groove Lélé

    Country  Reunion
    Genres fusion traditional
    Website www.groovelele.fr
    FestivalSauti za Busara 2011
    Recordings📼

    Dan kèr Lélé (1998)

    Trans-Mission (2008)

    Zembrocal Musical (2010)

    Groove Lélé et Ernst Reijseger "Balouko"

    Groove Lélé
    Groove Lélé

    Groove Lele wamedhamiria kuueneza muziki wa gwiji la muziki wa maloya (babu) Julien Philean Gramoun Lele. Kundi lina wanamziki 12; kati yao wanne ni watoto wake. Muziki wa maloya ulianzishwa kwa siri katika kipindi cha utumwa na matatizo ya ukoo ndani ya Reunion. Hasa kwa kuzingatia sauti na vyombo vya muziki vya asili. Wakiwa stejini, uchezaji, uimbaji muziki vyote vilikuwa vinaelezea kilio cha uhuru, muziki huu kipindi cha biashara ya utumwa ulipigwa marufuku.

     

    Gramoun Lele katika kipindi cha maisha yake alishawahi kurekodi CD kadhaa za makabila ya vaudou. Muziki wenye mchanganyiko wa ushawishi kufananishwa na kutambulika na nchi mbalimbali Zanzibar, Mozambique, Somalia, Madagascar na baadhi ya mambo kutoka Congo na hata Cameroon. Watoto wake wanaendelea na utajiri wa muziki waliourithi kutoka kwa baba yao na utaendelea si kwa vizazi tu bali utavuka bahari, visiwa na watu.

    With thanks to Région Réunion