4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Ithrene
Results: 1 to 1 of 1
 • Ithrene

  Country  Algeria
  Genres rock jazz traditional fusion
  Facebook /ITHRENE-183986109494
  FestivalSauti za Busara 2019
  Recordings

   NEW TINDI, 2011; EL MAHFEL, 2017

  Groupe Ithrene El Fouchi video clip 2018

  Ithrene
  Ithrene

   Ithrene inatoka katika kitongoji cha Oum El Bouaghi, Mashariki mwa Algeria. Kikundi hicho kilianzishwa rasmi mwaka 1992 na ndugu wanne, Rabah, Yazid, Hichem na Mohsen Ferrah, pamoja na marafiki zao Aziz Rabia, Zven na Ramzi Khelifi.

  Wanafanya muziki wenye changanyiko zaidi na vifaa vya umeme ili kuwapagawisha mashabiki wao. Ithrene wameshafanya zaira ya kimuziki sehemu mbalimbali nchi Aljeria, Ufaransa, bila ya kusahau maonyesho yao ya kukumbukwa mpaka sasa katika taasisi ya Arab World jijini Paris, nchin Ufaransa. Mpaka sasa wameshatoa albamu nne Imazighen, New Tindi, El Mahfel na El Fouchi.

  With thanks to Onda