4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Loryzine
Results: 1 to 1 of 1
  • Loryzine

    Country  Reunion
    Genres roots traditional acoustic
    Website artistecard.com
    FestivalSauti za Busara 2017
    Recordings📼

    Bal Maloya (2013)

    LORYZINE Concert Barachois

    Loryzine
    Loryzine

    Tangu mwaka 2008 kikundi cha Loryzine kimekuwa kikipiga muziki wa dansi ukichanganyika na muziki wao wa asili wa visiwa vya Reunion uitwao “Maloya”.  Muziki huu unasemekana kuwa umetokea Afrika ya Mashariki na Madagaska wakati wa utumwa. 

    Loryzine wanapiga muziki wa kuchangamsha watazamaji wao, wao hupenda kuwajumuisha watazamaji washiriki kucheza nao.

    travel-sponsor-for-Loryzine
    with thanks to Runmuzik and Fram